DUNIA IPO HATARINI

iship kubwa la sasa kwa binadamu sio vaita ya nyuklia, AIDS au madawa ya kulevya, bali ni ongezeko kubwa la idadi ya binadamu wenyewe duniani ndiyo chanzo cha njaa, uhalifu, ukosefu mkubwa wa kazi na mifarakano katika familia. Kwahivo. kama idadi ya watu ouniani itaendelea kuongezeka kwa kiwango cha sasa basi dunia itakuwa jangwa lisilokalika binadamu katika kiaka 100 ijayo, ameonya Profesor Leaf wa Harvard & Dk. Jane Goodall.

Katika taarifa yake yenye takwimu mbalimbali na vielezo vya hali halisi ilvyo duniani hivi sasa ambayo gazeti hili ilipokea wiki hii, Profesor Paul Ehrlich wa Stanford University & Professors Cornell University. ameeleza kuwa idadi ya watu duniani mwaka 1800 ilikuwa bilioni moja, lakini sasa ni billioni 5.78.

Na katiki miaka 40 ijayo kutakuwa na watu bilioni 10 duniani. Takwimu bilioni 10 duniani. Takwimu hizi pia zinatilia maanani idadi ya vifo duniani ambavyo vinasababishwa na vita na maafa mengine. idadi hiyo ni pamoja na vifo vya watoto 45,000 ambao hufariki kila siku katika nchizinazoendelea duniani (nchimskini), ameonya Daktari huyo wa Kimarekani. Athari zaidi za ongezeko kubwa la idadi ya watu duniani hivi sasa na hali kwa jumla ilivyo, soma katika toleo letu lijalo.

For practical solutions see here: Wealth, Hunger and Peace.